Ufafanuzi wa Idi katika Kiswahili

Idi

nominoPlural Idi

Kidini
  • 1

    Kidini
    sikukuu ya Waislamu inayoadhimishwa mara moja kwa mwaka baada ya kutimiza nguzo ya dini.

Matamshi

Idi

/Idi/