Ufafanuzi wa idiogramu katika Kiswahili

idiogramu

nomino

  • 1

    maandishi yasiyohusishwa na sauti bali dhana au kitu.

Asili

Kng

Matamshi

idiogramu

/Idijɔgramu/