Ufafanuzi wa ijapokuwa katika Kiswahili

ijapokuwa, ijapo

kiunganishi

  • 1

    neno linaloashiria walakini katika jambo fulani.

    ingawa, hata, japo, pindi

Matamshi

ijapokuwa

/Iʄapɔkuwa/