Ufafanuzi msingi wa ijara katika Kiswahili

: ijara1ijara2ijara3

ijara1

nominoPlural ijara

Kidini
 • 1

  Kidini
  malipo anayopewa mtu ili asali, afunge au ahiji kwa niaba ya mtu aliyefariki bila ya kuweza kutimiza faradhi zake.

  ‘Sala ya ijara’

Asili

Kar

Matamshi

ijara

/Iʄara/

Ufafanuzi msingi wa ijara katika Kiswahili

: ijara1ijara2ijara3

ijara2

nominoPlural ijara

 • 1

  Kibaharia
  malipo yanayotolewa na mwenye vyombo vya bahari kwa ajili ya kutumia bandari fulani.

 • 2

  kodi ya bandari.

Asili

Kar

Matamshi

ijara

/Iʄara/

Ufafanuzi msingi wa ijara katika Kiswahili

: ijara1ijara2ijara3

ijara3

nominoPlural ijara

 • 1

  malipo ya kazi iliyofanywa.

Asili

Kar

Matamshi

ijara

/Iʄara/