Ufafanuzi wa ijaza katika Kiswahili

ijaza

nominoPlural ijaza

 • 1

  idhini ya kutenda jambo lililo na dhima, hususan katika dini.

  ruhusa

 • 2

  kibali anachopewa mahafali au aliyehitimu masomo ya diploma, digrii, uzamili au uzamifu atumie elimu au taaluma aliyojifunza katika kazi.

 • 3

  ufafanuzi wa utumiaji wa jambo kwa radhi ya mwenye kujua.

Asili

Kar

Matamshi

ijaza

/Iʄaza/