Ufafanuzi wa ikirari katika Kiswahili

ikirari, ikrari

nomino

 • 1

  ungamo
  and → ukubalifu

 • 2

  ushahidi, ushuhuda, uthibitisho, hakikisho

 • 3

  neno dhahiri.

  hakika

Asili

Kar