Ufafanuzi wa ikweta katika Kiswahili

ikweta

nominoPlural ikweta

  • 1

    mstari dhahania unaozunguka dunia na kuigawa katika pande mbili zilizo sawa za Kaskazini na Kusini.

    istiwai

Asili

Kng

Matamshi

ikweta

/Ikwɛta/