Ufafanuzi wa ilhali katika Kiswahili

ilhali

kiunganishi

  • 1

    neno linaloonyesha hali ya kinyume cha mambo k.v. katika kulalamika.

    ‘Umemwacha mtoto afanye atakavyo ilhali unajua anachezea moto’
    kumbe, hali

Asili

Kar

Matamshi

ilhali

/Ilhali/