Ufafanuzi wa ilhamu katika Kiswahili

ilhamu

nominoPlural ilhamu

  • 1

    msukumo wa kufanya jambo; msisimko juu ya jambo.

    ‘Bila ilhamu, msanii hawezi kujitokeza na utunzi mzuri’

Asili

Kar

Matamshi

ilhamu

/Ilhamu/