Ufafanuzi wa iliki katika Kiswahili

iliki

nomino

  • 1

    mojawapo ya jamii ya viungo vinavyotumiwa katika chai, kahawa na chakula.

  • 2

    tunda la muiliki.

Asili

Khi

Matamshi

iliki

/Iliki/