Ufafanuzi wa ilimradi katika Kiswahili

ilimradi, alimradi

kiunganishi

  • 1

    kwa masharti kwamba.

    ‘Njoo tu ilimradi umekamilisha kazi yako’
    iwapo, mradi

Asili

Kar

Matamshi

ilimradi

/Ilimradi/