Ufafanuzi wa iliya katika Kiswahili

iliya

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tembelea au jia mtu.

    ‘Wageni wameniiliya nyumbani kwangu’

Matamshi

iliya

/Ilija/