Ufafanuzi wa ima fa ima katika Kiswahili

ima fa ima

kielezi

  • 1

    liwalo na liwe; potelea mbali; bila ya kujali.

    ‘Njia hii ina majambazi lakini mimi nitapita ima fa ima’

  • 2

    kwa vyovyote vile.

Asili

Kar

Matamshi

ima fa ima

/Ima fa Ima/