Ufafanuzi wa imamu katika Kiswahili

imamu

nominoPlural mimamu

Kidini
 • 1

  Kidini
  mtu anayeongoza sala ya jamaa katika dini ya Uislamu.

 • 2

  Kidini
  kiongozi wa madhehebu fulani ya dini ya Uislamu.

  ‘Imamu Shafi’
  ‘Imamu Hanafi, n.k.’

Asili

Kar

Matamshi

imamu

/Imamu/