Ufafanuzi msingi wa imani katika Kiswahili

: imani1imani2imani3

imani1

nominoPlural imani

Kidini
 • 1

  Kidini
  mambo anayokubali mtu kuwa ni ya kweli na anayopaswa kuyaheshimu, hasa katika dini.

  itikadi

Asili

Kar

Matamshi

imani

/Imani/

Ufafanuzi msingi wa imani katika Kiswahili

: imani1imani2imani3

imani2

nominoPlural imani

 • 1

  maoni ya moyo yanayomfanya mtu awe na mkabala fulani juu ya jambo au kitu.

  ‘Ujamaa ni imani’

Asili

Kar

Matamshi

imani

/Imani/

Ufafanuzi msingi wa imani katika Kiswahili

: imani1imani2imani3

imani3

nominoPlural imani

 • 1

  wema wa moyo.

  ‘Mwala anamwonea Lupu imani’
  huruma

Asili

Kar

Matamshi

imani

/Imani/