Ufafanuzi wa imarika katika Kiswahili

imarika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na nguvu.

    ‘Vyama vya upinzani vimeanza kuimarika’
    amirika

Asili

Kar

Matamshi

imarika

/Imarika/