Ufafanuzi wa inadi katika Kiswahili

inadi

nominoPlural inadi

  • 1

    hali ya kurudiarudia kumwambia mtu jambo asilolipenda ili akasirike.

    kinaya, kishindo, chuni

Asili

Kar

Matamshi

inadi

/Inadi/