Ufafanuzi msingi wa inama katika Kiswahili

: inama1inama2inama3

inama1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  pinda mgongo kwa mbele huku uso ukielekea chini.

  nema, jipinda

Matamshi

inama

/Inama/

Ufafanuzi msingi wa inama katika Kiswahili

: inama1inama2inama3

inama2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  fuata amri.

  tii

Matamshi

inama

/Inama/

Ufafanuzi msingi wa inama katika Kiswahili

: inama1inama2inama3

inama3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  nyamaza sana; kuwa mtu mnyamavu.

Matamshi

inama

/Inama/