Ufafanuzi wa inda katika Kiswahili

inda

nomino

  • 1

    ubaya wa roho wa mtu juu ya mwingine ili asifanikiwe.

    unyambi

Asili

Kar

Matamshi

inda

/Inda/