Ufafanuzi wa ingiza katika Kiswahili

ingiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

 • 1

  elekeza kitu au watu au wanyama waingie ndani.

  ‘Ingiza wageni ofisini’
  ‘Ingiza ng’ombe zizini’
  tia

 • 2

  lete bidhaa kutoka nchi za nje.

Matamshi

ingiza

/Ingiza/