Ufafanuzi wa injini katika Kiswahili

injini

nominoPlural injini

 • 1

  mtambo wa kuendesha kitu.

  ‘Injini ya motokaa’
  ‘Injini ya eropleni’
  ‘Injini ya jeti’

 • 2

  nguvu ya kusukuma jambo.

 • 3

  programu ya kompyuta.

Asili

Kng

Matamshi

injini

/Inʄini/