Ufafanuzi msingi wa inkishafi katika Kiswahili

: inkishafi1Inkishafi2

inkishafi1

nominoPlural inkishafi

kishairi
  • 1

    kishairi mdhihirisho wa habari kwa ghafla akilini mwa mtu.

    ufunuo, zinduko

Asili

Kar

Matamshi

inkishafi

/Inki∫afi/

Ufafanuzi msingi wa inkishafi katika Kiswahili

: inkishafi1Inkishafi2

Inkishafi2

nominoPlural Inkishafi

kishairi
  • 1

    kishairi jina la utenzi mmojawapo maarufu wa Kiswahili.

Asili

Kar

Matamshi

Inkishafi

/Inki∫afi/