Ufafanuzi wa inna katika Kiswahili

inna

kielezi

  • 1

    kishairi neno la kutilia mkazo.

  • 2

    kwa hakika; kwa kweli.

Asili

Kar

Matamshi

inna

/Inna/