Ufafanuzi wa intraneti katika Kiswahili

intraneti

nomino

  • 1

    mtandao wa mawasiliano ya ndani wa kikompyuta.

Asili

Kng

Matamshi

intraneti

/Intranɛti/