Ufafanuzi wa inua katika Kiswahili

inua

kitenzi elekezi

  • 1

    leta juu kitu kilicho mahali palipo chini.

    ‘Inua mzigo’
    ‘Inua mkono’
    nyanyua, ambua

Matamshi

inua

/Inuwa/