Ufafanuzi wa inukia katika Kiswahili

inukia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

 • 1

  kua k.v. mtoto au msichana ambaye amekua na kupata umbo la kumfanya aonekane mkubwa.

  ondokea

 • 2

  pata nafuu ya ugonjwa.

 • 3

  anza kustawi katika maisha.

  chipukia

Matamshi

inukia

/Inukija/