Ufafanuzi msingi wa isha katika Kiswahili

: isha1Isha2isha3

isha1

nomino

 • 1

  majira baada ya magharibi baina ya saa mbili usiku na usiku wa manane.

Matamshi

isha

/I∫a/

Ufafanuzi msingi wa isha katika Kiswahili

: isha1Isha2isha3

Isha2

nomino

 • 1

  sala baada ya sala ya Magharibi.

  ‘Alifika baada ya Isha’

Asili

Kar

Matamshi

Isha

/I∫a/

Ufafanuzi msingi wa isha katika Kiswahili

: isha1Isha2isha3

isha3

kitenzi sielekezi

 • 1

  ‘Alipigana nao akawaisha’
  maliza

 • 2

  fika mwisho wa kitu au jambo.

  ‘Mazungumzo yameisha’
  malizika

 • 3

  kosa kufaulu.

  filisika, anguka

Matamshi

isha

/I∫a/