Ufafanuzi wa ishirini katika Kiswahili

ishirini

nomino

  • 1

    makumi mawili.

Asili

Kar

Matamshi

ishirini

/Iāˆ«irini/