Ufafanuzi wa isimujamii katika Kiswahili

isimujamii

nominoPlural isimujamii

  • 1

    taaluma inayochunguza na kumakinikia uhusiano wa lugha na jamii.

Asili

Kar

Matamshi

isimujamii

/Isimuʄami:/