Ufafanuzi wa Israfili katika Kiswahili

Israfili

nominoPlural Israfili

Kidini
  • 1

    Kidini
    jina la malaika mmojawapo wa Mwenyezi Mungu ambaye atapuliza parapanda siku ya kufufuliwa watu.

Asili

Kar

Matamshi

Israfili

/Israfili/