Ufafanuzi wa istihaki katika Kiswahili

istihaki

nomino

  • 1

    manufaa fulani anayopewa mtu au kundi fulani la watu.

Asili

Kar

Matamshi

istihaki

/Istihaki/