Ufafanuzi wa itika katika Kiswahili

itika

kitenzi elekezi

  • 1

    toa jawabu uitwapo; sema labeka.

    giniza

  • 2

    kubali mwaliko.

Matamshi

itika

/Itika/