Ufafanuzi wa itikia katika Kiswahili

itikia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

  • 1

    kariri sehemu ya mwisho ya wimbo kwa pamoja; imba kibwagizo.

Matamshi

itikia

/Itikija/