Ufafanuzi wa jadili katika Kiswahili

jadili

kitenzi elekezi

  • 1

    zungumza na mtu kwa urefu juu ya jambo au kitu maalumu.

    babaka, bisha

Asili

Kar

Matamshi

jadili

/Ê„adili/