Ufafanuzi wa jahara katika Kiswahili

jahara

kielezi

 • 1

  bila ya kificho.

  ‘Ameyaeleza jahara’
  waziwazi, dhahiri

 • 2

  kwa sauti.

  ‘Kusema kwa jahara’
  ‘Kisomo cha jahara’

Asili

Kar

Matamshi

jahara

/ʄahara/