Ufafanuzi msingi wa jahili katika Kiswahili

: jahili1jahili2

jahili1

kivumishi

  • 1

    asiye na huruma; -enye ukatili.

Asili

Kar

Matamshi

jahili

/ʄahili/

Ufafanuzi msingi wa jahili katika Kiswahili

: jahili1jahili2

jahili2

nominoPlural majahili

Asili

Kar

Matamshi

jahili

/ʄahili/