Ufafanuzi wa jahimu katika Kiswahili

jahimu

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    moto wa ahera.

    jahanamu

Asili

Kar

Matamshi

jahimu

/Ę„ahimu/