Ufafanuzi wa jaji katika Kiswahili

jaji

nominoPlural maji

  • 1

    hakimu wa mahakama kuu.

    hakimu

  • 2

    mwamuzi katika mashindano.

Asili

Kng

Matamshi

jaji

/ʄaʄi/