Ufafanuzi wa jaketiokozi katika Kiswahili

jaketiokozi

nominoPlural majaketiokozi

  • 1

    jaketi la kizibao linalopulizwa hewa au kufungwa mikanda ili limwezeshe anayelivaa kuelea majini.

Asili

Kng

Matamshi

jaketiokozi

/ʄakɛtiɔkɔzi/