Ufafanuzi wa jamati katika Kiswahili

jamati, jamatkhana

nomino

  • 1

    jumba la mkusanyiko wa wafuasi wa Aga Khan, agh. kwa kufanyia shughuli za ibada.

Asili

Khi

Matamshi

jamati

/Ê„amati/