Ufafanuzi wa jambazi katika Kiswahili

jambazi

nominoPlural majambazi

  • 1

    mwizi, hasa atumiaye silaha.

    mkora

  • 2

    mtu laghai na mjanja.

    mdanganyifu

Asili

Kaj

Matamshi

jambazi

/ʄambazi/