Ufafanuzi wa jambeni katika Kiswahili

jambeni

nominoPlural majambeni

  • 1

    msumeno mkubwa wa kukatia magogo unaoshikwa na watu wawili.

Asili

Kar

Matamshi

jambeni

/ʄambɛni/