Ufafanuzi wa jambika katika Kiswahili

jambika

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    vaa nguo kwa kuipitisha chini ya kwapa moja na kuifungia juu ya bega la mkono mwingine k.v. rubega.

Matamshi

jambika

/ʄambika/