Ufafanuzi wa jamvi katika Kiswahili

jamvi

nominoPlural majamvi

  • 1

    mkeka unaoshonwa kutokana na ukili wa miyaa na hutumiwa kwa kukalia.

  • 2

    ada maalumu katika hukumu za kimila.

Matamshi

jamvi

/ʄamvi/