Ufafanuzi wa janabi katika Kiswahili

janabi

nomino

  • 1

    (hutumiwa kabla ya jina la mtu katika maandishi ya barua) bwana mheshimiwa au mtukufu.

    ‘Janabi Mwinyihatibu’

Asili

Kar

Matamshi

janabi

/Ê„anabi/