Ufafanuzi wa jando katika Kiswahili

jando

nomino

  • 1

    kumbi la watoto wanaume wanapotahiriwa na kufundishwa mambo ya utu uzima.

Matamshi

jando

/ʄandɔ/