Ufafanuzi wa jangili katika Kiswahili

jangili

nomino

  • 1

    mtu anayewinda wanyama katika mbuga za wanyama bila ya idhini ya Serikali; mwindaji haramu.

Asili

Kgu

Matamshi

jangili

/Ê„angili/