Ufafanuzi wa jangwa katika Kiswahili

jangwa

nominoPlural majangwa

  • 1

    eneo kubwa na kame ambalo agh. huwa na mchanga na lisiloota nyasi wala miti.

    ‘Jangwa la Sahara’

Matamshi

jangwa

/ʄangwa/