Ufafanuzi wa janibu katika Kiswahili

janibu

nominoPlural janibu

  • 1

    sehemu ya mji au nchi.

  • 2

    hutumika kwa wingi.

    ‘Mimi nakaa janibu hizi’
    upande, mahali, agh

Asili

Kar

Matamshi

janibu

/ʄanibu/