Ufafanuzi wa jaramandia katika Kiswahili

jaramandia

nominoPlural jaramandia

  • 1

    mkoba au mfuko wa kutilia silaha.

Matamshi

jaramandia

/ʄaramandija/